PICHA: Mererani mwanajeshi ajitoa mhanga

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Mwanajeshi mmoja ameamua kujitoa mhanga na yuko tayari kufukuzwa kwaajili ya CHADEMA maana amechoshwa na maisha magumu ya kwake binafsi na ndugu zake...
Afande.JPG
Lema, Nassari na mwanajeshi aliyeamua kusema yupo tayari kufukuzwa kwa ajili ya CDM LEO kwenye mkutano Mererani

More pics..
 
Narudia hii haijawahi tokea! vyovyote vile huyu ndio askari wa kwanza kwa majeshi yote kujilipua hivi!

Maisha yakiendelea kuwa magumu hivi mwaka 2015 CCM wakaleta uhuni kwenye matokeo watu hawatavumilia maana maisha yana wapiga wewe krismasi hii baba yako huko kijijini anakuomba umtumia hata 5000 huna ukipiga mahesabu january ndiyo hiyo inakuja ada za shule...kwanini usijilipue halafu mpumbavu kama Nape anasema kadi ya dr slaa ndiyo hoja ya nchi nzima...
 
lema_mjeshi.jpg

Mtu aliyejitambulisha kuwa askari wa Jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ),kambi ya Monduli,Arusha akiwa na wabunge wa Chadema,Godbless Lema (Arusha Mjini) na Joshua Nassari (Arumeru Mashariki) baada ya kumalizika kwa mkutano wa hadhara uliohutubiwa na wabunge hao katika Mji mdogo Mererani,Simanjiro mkoani Manyara jana.


 
Mtajipambambanua kwa njia nyingi lakini sawa na mwanaume asiye na kizazi ... Bado mtanunua hadi nguo za mgambo wa jiji,za manesi na madr alafu mpige nao picha.... Hata kwa macho tu mtoto mdogo anajua huyo kibaka tu kaokotwa mtaani kavalishwa nguo .
 
Hata hizo nguo zinapatikana hata kwenye maduka zinaendana na kombati.La kushangaza hakuna.Angejitaja jina hapo sawa.Siasa ndo hizo wazee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom