Tanzia: Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Tabora afiwa na mwanae

JBK

Member
Aug 17, 2012
68
13
Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Tabora ndugu Kansa Mbarouk amefiwa na mwanae siku ya jana hivyo makamanda wengi tupo hapa msibani tangu usiku wa jana .

attachment.php


attachment.php
 

Attachments

  • 13579937234491402487188.jpeg
    13579937234491402487188.jpeg
    13.3 KB · Views: 232
  • 13579941747751279397657.jpeg
    13579941747751279397657.jpeg
    13.2 KB · Views: 580
Poleni ndugu wafiwa, tupo pamoja nanyi katika maombi ili Mungu awape nguvu za kustahimili msiba huo mkubwa. Bwana alitoa Bwana ametwaa jina lake libarikiwe. Amina.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom