Maandamano ya wapinzani RUKSA! Polisi kuwapa ulinzi...

Status
Not open for further replies.

n00b

JF-Expert Member
Apr 10, 2008
1,006
2,667
Wakuu,

Wapinzani wamepata kibali na kuhakikishiwa Ulinzi kwenye maandamano yao ya Amani yanayotarajiwa kufanyika muda si mrefu.

Ruti imebadilishwa na sasa baada ya mapokezi ya Wabunge maeneo ya Ubungo (Saa sita mchana) yataelekea Kituo cha Oilcom (kwa Sokota) na ndipo maandamano yatakapoanzia badala ya TAZARA kama ilivyokuwa imepangwa awali.

Maandamano yataishia kwenye viwanja vya Temeke Mwisho.

Taarifa hizi nimezipata toka kwa Tumaini Makene ambaye ni Ofisa Habari wa CHADEMA

More updates, follow -> https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...no-wa-wapinzani-jijini-dar-feb-10-2012-a.html
 
nimesoma habari za kupotosha ndak ya mitandao mingi ya kijamii,ikiwemo jamii F kwamba maandamano yamsitishwa na polisi. Naomba ieleweke ndani na nje ya nchi ya kwmba maandamano yaku palepale,hivyo naomba wananchi wa dar na maeneo ya jirani mtuunge mkono,tuioneshe dunia ni nini tunataka watanania dhidi ya demokrasia ndani ya bunge na nje ya bunge.
 
Ni maandamano ya wapinzani yakiratibiwa na chama pendwa, chama changu CDM.

n00b don't hesitate to bring for us more updates.
 
Hii taarifa ni halisi na ya kweli tunakushukuru kwa kusambaza hizi taarifa mitandaoni.
 
MaCCM yameanza kupata akili kwamba kuendelea kuzuia maandamano ya wapinzani ni kuzidi kuipa sifa upinzani.

Sijui leo ni nani amewasaidia kufikiri vema.
 
Mbona sarakasi? Mara yamepigwa marufuku mara yapo! Au ilikuwa ni kuwapoteza maboya wananchi ili wasijitokeze kwenye maandamano?

Sio sarakasi! Chezea Nguvu ya UMMA wewe.

Wamebana wameachia!

HUU NI MWAKA WA NGUVU YA UMMA.

Hatubembelezani na serikali wala kiongozi yeyote wa serikali tumechoka.
Wananchi tunyanyaswe, na wabunge wetu wanyanyaswe, sasa mkombozi wetu atakuwa nani?
 
Hewalaaa Baba!! Yukowapi Ritz1,na Wapambe wake waliokuwa wanaimba kuwa hakuna Maandamano???

Polisi nao ni Binadamu, wanaangalia Upepo unaelekea wapi! Hivi unataka kusema kuna Polisi wa kutosha kupambana na Nguvu ya Umma ikiamuwa??
Walijua kwamba hata wangezuiaje hayo Maandamano, ni lazima tu Watu wangeandamana hata kwa Nguvu!

CHEZEA CHADEMA VEVE! Nasema hivi! Hii ndio CDM, hata Ukikataa KUIKIRI kinywani, lakini UTAIKUBALI Moyoni!!
Huu ni mwaka wa Nguvu ya Umma! By Mbowe.
VITA ni VITA. Murra!! Hakuna kulala mpaka walale wao."HAKI" haiombwi, bali Hudaiwa.

MUNGU IBARIKI TANZANIA!!!!
MUNGU IBARIKI CHADEMA!!!!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom